chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
"Unavimbwanga" wewe nimeenda mbiyo nami kuangalia kumbe hakuna kitu!
Usiseme hivyo , mie naona sikjui tatizo ni nini kwenu
"Unavimbwanga" wewe nimeenda mbiyo nami kuangalia kumbe hakuna kitu!
Mimi mwenyewe sioni live nasikiliza kwenye radio.Masuke nasikia huyo kipa wa zenji kafanya tena ujinga na kusababisha bao la pili?!!,haaaaaa!!!! anatuchosha huyo sisi tunafanya kazi ya kuomba mungu afanye vitu vyake halafu yeye anakaribisha matatizo?!
Kweli Radi ni nyingi huku lakini mie nipo kaisho(kyerwa-wilaya mpya) sina uhakika kama kayanga inanyesha. Ila huku inanyesha kweli kweli
Extra time to follow (SS9 East).
Kyerwa bwana niliwahi kufika wakati wa kampeni mwaka 2005,ni eneo ambalo lina mvua sana lakini pia wakati wa jua vumbo lake ni hatari kwa maisha ya binadamu!!!!!!
kuna hatari dak. 30 zikaongezwa hapa.
siasa zimeathiri watu.!muungano ni kama koti likikubana livue....
mkuu hii hatari kwa pande zote,hasa zanzibar walioonyesha kuzidiwa.!dk 30 kuongezwa ni hatari??
Jamani akuna local channel inayoonyesha??!
muungano ni kama koti likikubana livue....
mkuu najua ni 2 2 lkn ndo natia timu shemeji yako alikuwa amening'ang'ania mpira ulikuwaja kwa ufupi!dk 30 kuongezwa ni hatari??