Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Penati kwa Zanzibar, nafasi ya kujinasua! Dak. 74. Goo! Zanzibar 2-1.
Penati kwa Zanzibar, nafasi ya kujinasua! Dak. 74. Goo! Zanzibar 2-1.
Hapa hakuna dakika za nyongeza kama tyri tuna bao mbili,mungu ameshasema ndiyo kwa hiyo hakuna wakusema HAPANA i bealive in you my Lord JESUS!!!!!!!!!!
Hongera Zanzibar Heroes, kazeni mcheze fainali.
Dak. 81 Mike Baraza anachomoa. Zanzibar 2-2 Kenya.
Mkuu Chitambikwa nimewahi kufanya kazi hapo Karagwe Hapo walipojenga makao makuu ya wilaya kwa sasa,kuna radi sana hebu niambie kwa sasa hali ikoje na hasa wakati huu wa mvua?!!