CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Kipindi cha pili inabidi hawa wazenj wakomae ili watutoe kimasomaso, kuna yeyote anaweza kuweka kikosi kilichoanza za Zanzibar Heroes?

1 mwidini
2 kanavaro
3 agrey moris
4 mcha
dah nitaendelea baadae kidogo
 
Jamani naomba msinicheke,Mphamvu yuko wapi?!,unajua huyu jamaa alikuwa Uganda sasa sijui kapotelea wapi kwa sababu tangu mechi za robo fainali hasemi chochote anayejua anijuze wakuu kwa sababu hata sasa tunatumia Therad aliyoianzisha tangu mechi ya kwanza.
 
Zanzibar kiungo kimekufa kabisa, bora waanze kucheza mipira mirefu.
 
Mkuu wangu Makoye Matale:Hebu jaribu ku-analyse kidogo hizi dakika 45 za kipindi cha kwanza,halafu nini kifanyike kipindi cha pili kwa wazenji kama kweli wanataka ushindi kwenye mchezo huu,najua ulikuwa na kazi ngumu ya kutoa update kwa hiyo usingeweza elza kila kitu!

Samahani Mkuu sikuweza ku-analyse, nilipeleka mtoto tuitiö wakati wa half time. Zanzibar wako vizuri. Mabeki waongeze umakini. Dak. 61 bado 1-1.
 
Samahani Mkuu sikuweza ku-analyse, nilipeleka mtoto tuitiö wakati wa half time. Zanzibar wako vizuri. Mabeki waongeze umakini. Dak. 61 bado 1-1.

Sio mbaya mkuu elimu kwanza kwa mtoto kisha mambo m,engine kama hy ya humu yanafuatia.pamoja sana.
 
If God say YES!no body can say NO!,& If God say NO! no body can say YES!
 
Hivi huu mtanange hadi dk 90 zikimalizika kwa SARE, ni matuta au kuna zile dakika za kuchoshana?
 
Dk 70
[TABLE="class: league-table, width: 464"]
[TR="class: even"]
[TD="class: fh, bgcolor: #DFDFDF, align: right"]Zanzibar[/TD]
[TD="class: fs, bgcolor: #DFDFDF, align: center"]1 - 1[/TD]
[TD="class: fa, bgcolor: #DFDFDF"]Kenya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom