CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Full time 2-2.

Makoye Matale mkuu wangu tayri nimeingia home,jambo la kwanza nimefika tu nikawasha kadeo kangu,nimemkuta huyu mtangazani wa TBC anaitwa Chacha Maginga ambaye hajui kutangaza hata chembe yani asema baada ya tukio kutokea na dakika zikapita mbili,mpira umetoka nje mtu kapiga krosi wamefunga zenji refa kakata eti anasema mfungaji yuko oofside?!
 
Hivi ile ni offside kweli au jamaa wamenyimwa goli?
 
mkuu najua ni 2 2 lkn ndo natia timu shemeji yako alikuwa amening'ang'ania mpira ulikuwaja kwa ufupi!

Khamis kafunga dk ya 20, ya 30 nadir kajifunga sijui, ya 75 Aggrey Morris akatuinua, ya 80 Baraza wao akatukalisha, ndo ngoma ikabidi iongezewe muda. Kenya washalamba njano 2, Zanzibar 1
 
dak ya 11 kipindi cha kwanza, kwenye dak.30. 2-2
 
Zanzibar wazuri sana wasipoingia fainali itakuwa ni mkosi tu umewapitia.
 
Hivi ile ni offside kweli au jamaa wamenyimwa goli?

Hapana mkuu kwana ule mpira ulikuwa tayari umetoka nje kwa hiyo wakati anapiga ukamkuta jamaa kwenye nafasi nzuri kaweka kimiani kwa shoto lake,lakini ndiyo hivyo tena,wala sio offside!!!!!!!!!!
 
dak ya 14 kipindi cha kwanza, kwenye dak.30. 2-2
 
Ninachokiona hapa kuna htari kubwa sana ya Zanzibar kutolewa kwenye matuta,nasema hivyo kwa maono haya:

Mechi ya robo fainali zenji walishinda kwa matuta,na wamejitahidi sana kupata ushindi ndani ya dakika 90 imeshindikana ni vigumun sana kushinda mara mbili kwenye matuta.

Kenya mechi yao ya Robo fainali walishinda ndani ya dk 90,na wamejithidi kushinda tena ndan ya muda huo lakini imeshindikana,wakiend kwenye matuta inaweza kuwa zamu yao.
 
Hapana mkuu kwana ule mpira ulikuwa tayari umetoka nje kwa hiyo wakati anapiga ukamkuta jamaa kwenye nafasi nzuri kaweka kimiani kwa shoto lake,lakini ndiyo hivyo tena,wala sio offside!!!!!!!!!!

Okay mkuu sikuiona vizuri hapo...
 
Makoye Matale mkuu wangu tayri nimeingia home,jambo la kwanza nimefika tu nikawasha kadeo kangu,nimemkuta huyu mtangazani wa TBC anaitwa Chacha Maginga ambaye hajui kutangaza hata chembe yani asema baada ya tukio kutokea na dakika zikapita mbili,mpira umetoka nje mtu kapiga krosi wamefunga zenji refa kakata eti anasema mfungaji yuko oofside?!
Ule Mpira ulikuwa umetoka mkuu....mfungaji hakuwa offside....
 
dak 15 za kipindi cha pili kimeanza, mpira upo sawa pande zote yeyote anaweza kupata goli.
 
Back
Top Bottom