Canavaro amejifunga kwa kukosa mawasiliano na kipa.!
Huyu kipa anaweza kuigharimu zanzibar kwa uzembe!
"Unavimbwanga" wewe nimeenda mbiyo nami kuangalia kumbe hakuna kitu!
duu disko kaingia mmasai..
Ni mambo ya mpira lakini kama ni Canavaro usihofu ikitokea tu kona au faulu utaona anarekebisha makosa kwa kufunga bao.
Mkuu uwanja uko safi kabisa, hakuna tatizo la uwanja. Dak. 38 bao 1-1, possession (%) Zanzibar 47-53 Kenya
Mkuu sio lazima kusoma kila post, zingine unazipotezea tu.
shukrani...basi kuna mtu mmoja hapo juu anasema uwanja umejaa maji...
mkuu wakenya wanawashambulia sana ndugu zetu.
Uwanja siyo tatizo kabisa. Mpira unachezwa vizuri sana. Mwadini kafuta bao la wazi dak. 44.
Vipi tena mkuu.