Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ngassa yuko vizuri sana leo......
Kili Stars wanatisha wakuu....
Hili la pili unasemaje linesman wetu?
Kili Stars wanatisha wakuu....
Safi sana Msuva.......Kona
Anakuchanganya Bocco au mie?
watu 8 Haoni hilo mkuu,hivi kweli unamueewa huyu jamaa?!!!
mkuu dogo Msuva naona bado hajatulia....
Mkuu namzungumzia watu8!!!!!!!!!!!
naona umeniamulia hahahah sawa bhana wabheja sanaaa!!!
Kiukweli hayuko vizuri sana leo!!!!!!
Safi sana Msuva.......Kona
leo hushabikii ndugu zako Wasudani mkuu?
huyu dogo ni pimbi bora atolewe tu..