CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Tunapewa goli la Offside...

Mkuu ile sio offside wakati Ngasa ankokota ule mpira huyu Boko alikuwa anakimbia kujiposition na akawa amemuacha huyu Beki wa Suda kwa hiyo hakuna offside hao sio waamuzi wetu wa Tanzania,lakini nampa Big Up sana huyu kazimoto anaonesha ukongwe wake kwamba umejaa Talanta.
 
Hivi wabongo hata hizi mechi huwa wanarogwa...mbona control mbovu kabisa
 
lilikuwa gori zuri sana kama umeona vizuri ngasa na boko waliukuwa kwenye line moja sasa offside inatoka wapi

nimetafakari nimegundua si offside....
Duh bao la pili hilooo
 
Back
Top Bottom