hureeee!jirani ana point 4 sisi tunazo tatu!!!!All over!
We win it...
kocha aliahidi aiporudi na kombe ana achia ngazi!!!!!
hongereni wazanzibari
hureeee!jirani ana point 3 sisi tunazo mbili!!!!
Tanganyika timu yenyewe haieleweki kama homa za vipindi, mara ifanye vizuri na mechi inayofuata inaharibu tena.......
kweli mkuuni 4 kwa 3Point nne sio tatu!!!
RIP Bro' PM Mafisango