CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Ina maana Uganda hawakujiandaa hadi kuchezea kwenye tope hivi kama ng'ombe.?

Ni kama unachosema ni kweli, hii inathibitisha kwanini ukanda wetu wa afrika mashariki kiwango kipo chini maana hatuzingatii wala hatuweki maanani viwango vinavyopaswa katika mpira wa miguu, iwe ni Pitch, sheria 17 nk.
 
Khamis Mcha makes it two here in Namboole, perfect finish.
 
tatizo wakati mwengine ni ss huwa hawa jamaa kuhamahama huwa hawapendi wewe siunakumbuka hata kagame gemu za chamazi walikuwa hawaoneshi hadi taifa tu hilo nalo linaweza kuwa tatizo chengine hata muamko wa mashabiki pia nalo ndio shida..
 
Ilijuwa pasi matata toka kwa Sulemani Kassim, uzembe wa beki ukamfanya Mcha kufunga kwa uzuri kabisa
 
Ni kama unachosema ni kweli, hii inathibitisha kwanini ukanda wetu wa afrika mashariki kiwango kipo chini maana hatuzingatii wala hatuweki maanani viwango vinavyopaswa katika mpira wa miguu, iwe ni Pitch, sheria 17 nk.

mkuu tumshukuru Mungu inaonekana hili tope lipo upande wetu.:clap2:
 
Haswaa mkuu naona mpira ukigushiwa na maji na kumhadaa beki na tukapata la pili. Kweli kila jambo linafaida na hasara
 
tatizo wakati mwengine ni ss huwa hawa jamaa kuhamahama huwa hawapendi wewe siunakumbuka hata kagame gemu za chamazi walikuwa hawaoneshi hadi taifa tu hilo nalo linaweza kuwa tatizo chengine hata muamko wa mashabiki pia nalo ndio shida..

nadhani ni wakati wa kujifunza kutokana na aibu hii na pengine East Afrika tuwe tunajiandaa kwa uhakika.
 
Back
Top Bottom