CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkuu mbona unamuuliza hivo, haijalishi ukiona upande wako unachechemea si vibaya kusapoti jirani yetu ati!
mkuu nakubaliana na wewe ila ina uma sisi kuwa wanyolewaji siku zote!!sijui sisi tuta anza kuwa nyoa lini!!!
 
Hii ni AIBU kubwa kwa CECAFA na Uganda.....

Uwanja mbaya mpaka unatia kinyaa.....

Ni mara kumi hata wangechezea uwanja wa Manungu Mtibwa
 
Hii kazi mkuu, nimeamini kumbe mpira unaweza kukuunganisha hata na unayedhani ni Adui!

Uadui wa kujengewa mie siuwezi, mtu anakuwa adui yangu for reason joh, si kwa default.
 
mkuu nakubaliana na wewe ila ina uma sisi kuwa wanyolewaji siku zote!!sijui sisi tuta anza kuwa nyoa lini!!!

Hadi zanzibar wanatushinda, hii ni aibu ndio maana jamaa wanakomaa kuomba uanachama fifa.!
 
Go.! Rwanda anapata goli hapa dk ya 79.!
 
mkuu nakubaliana na wewe ila ina uma sisi kuwa wanyolewaji siku zote!!sijui sisi tuta anza kuwa nyoa lini!!!

Mkuu somalia kwa kuwa wametoka teyari nadhani tutaibuka na mkasi mkononi na furushi la nywele zao naamini hivo.

Zanzibar 2 rwanda 1 dk 79 hii sio dalili nzuri pasi ya niyonzima, Dani anaingia wavuni
 
Mkuu somalia kwa kuwa wametoka teyari nadhani tutaibuka na mkasi mkononi na furushi la nywele zao naamini hivo.

Zanzibar 2 rwanda 1 dk 79 hii sio dalili nzuri pasi ya niyonzima, Dani anaingia wavuni
naomba dua yako uwe ya kweli!vinginevyo huyu poulsine tutaanza naye!
 
naona Rwanda wameamuka hapa lolote laweza kutokea, Zanzibar waongeze umakini.!
 
Back
Top Bottom