CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

hii kali kweli ya cholo nakuumia kala kadi huyu refa kazi ipo..
 
mchezaji kalala kwenye tope haonekani kabisa dk ya 91
 
Mkuu unauliza jibu!!! Hao wanaoongoza mbili mbona huwapi haki yao. Sema tu ZANZIBAR. VIVA ZNZ. Viva JF.
Globu tuko pamoja ni hivi tu hawa watanganyika wana suasua sana!!!
 
Last edited by a moderator:
Hongereni Zanzibar mpira umekwishaaaaaaaa 2-1.
 
Muda wa kujiangusha kwenye Tope tu ndio kilichobakia tehtehteh hehehee jezi zimefanana kwa tope tehtehteh mpira wa Uswazi sasa Magoli ya Mawe ni kubutuwa tu mguu peku mpira wa makaratasi lazima ufumuke kama kigozi hujakata kucha lazima utoboe mpira wa watu. Zanzibar leteni Raha jana Kilimanjaro wametuuzi na kama Somalia hajafungwa tutawachapaq bakora Refaaaaaaaaaaaaaa sio Pipi hiyoooooo puliza sasa Kilimanjaro msipo shinda ni bakora tu.
 
Mkuu unauliza jibu!!! Hao wanaoongoza mbili mbona huwapi haki yao. Sema tu ZANZIBAR. VIVA ZNZ. Viva JF.
mkuu Globu kumbuka inapokuja kwenye suala la soccer majirani huwa wanakuwa wapinzani!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom