Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,925
Majuzi Yondani alikuwa kucheza ndondo Kimara, uwanja umeinama halafu una kisiki cha mwembe katikati. Na alicheza vizuri tu, itakuwa hapo Namboole?
Ha ha ha aaah!! Hivi kumbe viwanja vya mtaani ni vibovu kuliko hicho cha Namboole?/