figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,681
- 59,180
Msuva anapiga 'banana chop' matata hapa, kipa wa Burundi anaficha!
hana jipya. hapa wa kutegemea kutupa goli ni ngasa,boko na sureboy. msuva kufunga ni bahati nasibu. mia
Msuva anapiga 'banana chop' matata hapa, kipa wa Burundi anaficha!
hakuna alternative ya kubadili uwanja?
simkuelewi. nafikiri ulitaka kumquote mphamvu. mia
Sijam-quote Mphamvu bali nimem-cite na nimea-acknowledge chanzo, so no plagiarization of post! Nilimaanisha Usimba unakusumbua. Kaseja kaokoa uzuri. Dakika ya 37 bado 0-0.
Baadae utamkubali. mia
Inaonekana hivyo kwa sababu Kampala kuna viwanja vizuri tu huu unaochezewa na mwingine unaitwa Nakivubo,na huu inavyoonekana ndio unaochezewa mechi zote.
Amri Kiemba anapiga shuti hapa na Bukoba mjini...