CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

leo ndo mtaamin maneno yangu ya kwamba msuva ni mshambuliaji asie na hatari. msuva akishika mpira utasema hili ni goli lakini mpira wa mwisho utatoka nje au utapaa juu sana ya goli. magoli yake siyajui wala sijawahi ona goli lake. ana makeke akishika mpira lakini hana malengo. mimi hua simkubali. mia
 
Baadae utamkubali. mia
 
Uso wa uso ndio.
Lakini angalia hata ule upigaji wa mpira, sio kiprofeshenali kabisa.
Uyanga unakusumbua, halafu sipendi...

Pole sana mkuu,lakini kajezi ka Kaseja si umekaona kalivyokaa,sijui alikuwa wapi siku zote kuvaa jesi kama hii,inapenda ana na hii jezi ni ishara nzuri ya ushindi,lakini kama wenzake ndani watachangamka,si unaona hata Ngasa leo hakimbizi sana,halafu wachezaji wa Burundi wanaangukaanguka sana wangetumia nafasi hizo na kwa sababu wnaangukia maeneo ya mbelembele ya 18 ni rahisi kupata bao.
 
Uwanja unazingua sana eeeh! Tatizo nini kuna mvua...!

uwanja unateleza sana lakini isiwe sababu ya kufungwa. simon msuva 12 ndo anatuangusha kwa kucheza bila malengo pale mbele. mia
 
kwa wataalamu naomba mtusaidie, ni mazingira gani mpira unaweza ahirishwa kwa ubovu wa uwanja? hawawezi badili uwanja?

Mahali ambapo ubovu wa uwanja utaathiri movement ya mpira. Yaani ukiburuza mpira, unapungua kasi kwa zaidi ya 30%, zaidi kujaa maji na upepo.
 
Uso wa uso ndio.
Lakini angalia hata ule upigaji wa mpira, sio kiprofeshenali kabisa.
Uyanga unakusumbua, halafu sipendi...

mkuu taratibu mapema mno kulaumiana, kwa ule mpira pongezi zimwendee kipa kwa kumuwai mpigagji.!
 
leo ndo mtaamin maneno yangu ya kwamba msuva ni mshambuliaji asie na hatari. msuva akishika mpira utasema hili ni goli lakini mpira wa mwisho utatoka nje au utapaa juu sana ya goli. magoli yake siyajui wala sijawahi ona goli lake. ana makeke akishika mpira lakini hana malengo. mimi hua simkubali. mia

Usimba unakusumbu halafu sipendi (Mphamvu, leo).
 
Baadae utamkubali. mia

mimi huyu namfahamu coz nimemfuatilia kwa mda mlefu. huyu ni mchezaji wa timu yangu so namjua anavyo cheza. akishika mpira anakua na makeke mara tobo, kanzu chenga lakini mwisho wa siku mpira atapiga nje, atajiangusha au atapaisha. hua halengi goli. na ukiona kalenga goli kabahatisha. mia
 
Mahali ambapo ubovu wa uwanja utaathiri movement ya mpira. Yaani ukiburuza mpira, unapungua kasi kwa zaidi ya 30%, zaidi kujaa maji na upepo.

Hilo shuti zuri la msuva mbona hulifagilii au umeshakariri tu kuponda na wewe simba jamani!!!!
 
Msuva anapiga 'banana chop' matata hapa, kipa wa Burundi anaficha!
 
hawafiki mbali hao, bila wabara hawawezi lolote, wanatutegemea kwa kila kitu. warudishwe tu zenji wakale pweza
 
Mahali ambapo ubovu wa uwanja utaathiri movement ya mpira. Yaani ukiburuza mpira, unapungua kasi kwa zaidi ya 30%, zaidi kujaa maji na upepo.

hakuna alternative ya kubadili uwanja?
 
Back
Top Bottom