CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Mkuu mapema sana kuanza kumlaumu,halafu alikuwa uso kwa uso na Kipa,

Uso wa uso ndio.
Lakini angalia hata ule upigaji wa mpira, sio kiprofeshenali kabisa.
Uyanga unakusumbua, halafu sipendi...
 
kwa wataalamu naomba mtusaidie, ni mazingira gani mpira unaweza ahirishwa kwa ubovu wa uwanja? hawawezi badili uwanja?
 
Hata jana ilikua hivyo hivyo...aisee bado jamvi letu la Ben Mkapa ni matawi mengine, pale mvua ikinyesha unawexa piga deki kama tiles vile
Uwanja unazingua sana eeeh! Tatizo nini kuna mvua...!
 
Back
Top Bottom