Mpira umekwisha.
Sudan 1 - 0 Somalia
Kajezi ka Burundi kanang'aa vizuri aisee
Mkuu kama uko uwanjani leo niko hapa uwanjani angalia huku walipo wageni waheshimiwa,ndipo nipo mkuu wangu.
Mkuu kama uko uwanjani leo niko hapa uwanjani angalia huku walipo wageni waheshimiwa,ndipo nipo mkuu wangu.
Dakika ya 85 ya mchezo, Sudan wanapata goli la kuongoza.
Mfungaji ni Mohamed Farid...
​Tanesco "#£¥*****#%~ zao mfyuuuuuuu!sio wazalendo kabisa
mkuu utatuletea kwa kina,sisi tupo kw tv.!
Naona burundi wameanza kwa kasi kiasi.!