CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Second half flap was result of Amri Kiemba's substituion.
 
tukaribie Nambole naona kunawiva dah siku mbil hizi Tanesco walichokuwa wanatufanya Mungu awabariki
 
duh! Uwanja wenyewe! Mh, Leo niko upande wa KINA Orriaa!kina aptiii
 
duh! Uwanja wenyewe! Mh, Leo niko upande wa KINA Orriaa!kina aptiii

Uwanja umejaa tope kutokana na mvua nyingi zinazoendelea, ila patachezeka tu.
Naona huyu kipa Ze Comedy wa Somalia leo yupo golini...
 
kwa uwanja huu angekuwepo Kanik aka Golotha mambo yangekuwa saafi!
 
Somalia imejitahidi mpaka sana mpaka sasa bado hawajafungwa ni dakika ya 47 na imesalia 1 kwenda Half time.
 
half time bila bila Somalia wamekaza, ila kipa wa Somalia ananifurahisha sana
 
hata cfahamu ila uwanja huu haufai Mkuu.

Kinachotokea ni kuwa viwanja vyenye natural grass turf inabidi pitch iwe inabadilishwa baada ya miaka kadhaa, yaani wanatifua kuanzia chini na kuiweka upya.
Inapotokea hawafanyi hivyo, udongo wa uwanja unakomaa na nyasi zinatengeneza mizizi migumu ya kudumu. Baada ya muda kupita uwezo wa uwanja kupitisha maji through drainage sytem unapungua hivyo kutuamisha maji inapotokea mvua imenyesha.
 
Dakika kumi zimebaki mchezo uishe, naona bado matokeo ni bila bila.
 
Dakika ya 85 ya mchezo, Sudan wanapata goli la kuongoza.
Mfungaji ni Mohamed Farid...
 
Dakika ya 85 ya mchezo, Sudan wanapata goli la kuongoza.
Mfungaji ni Mohamed Farid...

Ilipigwa pasi nzuri ya kupenyeza, na jamaa akafunga kutokea upande wa kushoto wa uwanja.
Sudan 1 - 0 Somalia
 
Back
Top Bottom