CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

Ngoja waungwana waliweke YouTube halafu tutadananda huko...

Ratiba ya leo iko vipi?? Nasikia Kilimanjaro starz ikpata sare tu mechi ijayo inaingia robo fainali.....!!
 
Ratiba ya leo iko vipi?? Nasikia Kilimanjaro starz ikpata sare tu mechi ijayo inaingia robo fainali.....!!

Chungulia hapo juu mkuu, kwenye title content.
 
Nimekupata mkuu, mechi ya pili naona ndio kali zaidi.

Hata hii ya kwanza ni kali mkuu wakenya wanasaka ushindi na wasudani nao wanataka ushindi kumbuka mechi ya kwanza walifungwa na Uganda,na hawa Wasudan wakafungwa na Wahabeshi,wote walilambwa bakora moja moja.
 
Dakika ya 13, David Ochieng anaipatia Kenya goli la kuongozi kwa kichwa safi...
 
Back
Top Bottom