Haya bwana nimekusamehe lakini ungefuatilia vizuri post ungeona jinsi ilivyoanza na ile ilikuwa ni response kwa mkuu Balatanda baada ya kucompare timu ya mwaka jana na ya mwaka huu na alisema ya mwaka jana ilikuwa biased, kwa hiyo usirudie tena kuniita janga la Taifa sitakuripoti kwa invisible badala yake nitakupeleka kwa Ng'wanangwa wa ukoo wenu.Mkuu mimi sikutaki radhi hata kidogo wewe unaleta ushabiki wako humu wakati sisi tunajaribu kuangalia utaifa,we mwambie tu Bwana hata usinitishie nyau!
Wewe jamaa una undugu na kocha nini?
Azam mmechemka.....Hakuna cha takrima wala nini......ni mkali sana sema anapenda sana takrima..
Michuano imeanza leo tarehe 24 Novemba huko Uganda.
Stay tuned kujua kinachojiri huko...
ngapi ngapi.. maana nipo darajani..
yaan Waganda hawapo kabisa uwanjani...sijui population ya Kampala ndogo au ndio sio wapenzi wa kabumbu..
Haya bwana nimekusamehe lakini ungefuatilia vizuri post ungeona jinsi ilivyoanza na ile ilikuwa ni response kwa mkuu Balatanda baada ya kucompare timu ya mwaka jana na ya mwaka huu na alisema ya mwaka jana ilikuwa biased, kwa hiyo usirudie tena kuniita janga la Taifa sitakuripoti kwa invisible badala yake nitakupeleka kwa Ng'wanangwa wa ukoo wenu.
Google.SuperSport utayaonea maelekezo Mkuu namna ya kujiunga.
Kwani we uliacha ngapingapi?
Dakika ya 80
Tanzania 2-0 Sudan
Dakika ya 80
Tanzania 2-0 Sudan