Asante sana mkuu kwa hii link. Nasikiliza nami hapa sasa.
Edson na rmashauri asanteni sana kwa link hii
Asante sana mkuu kwa hii link. Nasikiliza nami hapa sasa.
Safari njema...Lakini yanga kashikwa sema mpira ni magoli....Jaman mlioko uwanjan mtupe updates, mi niko safarin from Arusha to Dsm by KLM express.
hapewi nafasi ndio maana kiwango kinashuka.Huu uswahili ndio unafanya soka letu lisipige hatua.NGassa anachemka mtu mwenyewe,msianze kuleta uswahili.Kama kwenye mchezo wa leo ukiondoa goli zuri alilofunga sikuona effectiveness yake.
Safari njema...Lakini yanga kashikwa sema mpira ni magoli....
Al-jazeera sport +3 na Dubai Sport,
Unaangalia mpira gani?...Safari njema...Lakini yanga kashikwa sema mpira ni magoli....
hapewi nafasi ndio maana kiwango kinashuka.
sikiliza kwenye dullonet.com/sports/kagame-cup-live
Unaangalia mpira gani?...
Mbona ball poessession inaonesha APR 49%-51% Yanga
Na Yanga ndio wanawashmbulia sana APR Half hii
Unaangalia mpira gani?...
Mbona ball poessession inaonesha APR 49%-51% Yanga
Na Yanga ndio wanawashmbulia sana APR Half hii
Naona kipindi cha pili Yanga mmepata strength.