Opaque
JF-Expert Member
- Oct 24, 2008
- 1,359
- 727
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!Shamte Ally naye anatoka....
Anaingia Rashid Gumbo 'Fundi'
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!Shamte Ally naye anatoka....
Anaingia Rashid Gumbo 'Fundi'
aaaahhh kumbe ndio hivyo...
Dakika ya 90
APR 0-0 Yanga
Nami nahisi tutaondolewa kwa penati aisee......Sijui kwa nini ati...yanga itaondolewa kwa penalti.
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!
Ukiona kocha anamuingiza mchezaji katikati ya mchezo, halafu anakuja tena kumtoa bila hata kuwa majeruhi, ujue kocha anabahatisha!
Nipo nimejaa tele papamkuu habari za masiku mengi ni bila bila upo lakini El Toro
Dida ndio nani?.....Kwa jinsi ninavyo mjua Dida basi Yanga anaenda fainali..