CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Huu uswahili ndio unafanya soka letu lisipige hatua.NGassa anachemka mtu mwenyewe,msianze kuleta uswahili.Kama kwenye mchezo wa leo ukiondoa goli zuri alilofunga sikuona effectiveness yake.
hapewi nafasi ndio maana kiwango kinashuka.
 
endeleeni tu kukosa hapa kazi tu kazi mnayo ila kazeni buti mpite ili tucheze wabongo wote..
 
hapewi nafasi ndio maana kiwango kinashuka.

kila mchezaji anaumuhimu pale azam so ndio maana mwidini hakucheza ili asichoke maana ligi ikianza atakuwa anabadilishana na dida nyie subirini VPL ianze tutakuwa bomba balaa yaani wewe acha tu..

Forza Azam FC..
 
Unaangalia mpira gani?...

Mbona ball poessession inaonesha APR 49%-51% Yanga

Na Yanga ndio wanawashmbulia sana APR Half hii

Yes, sasa Yanga ndio wameishika mechi.
Hii ni tactic ya Saintfiet kama nilivyoilezea kwenye half-time match analysis yangu kwenye posy moja huko nyuma.
 
Back
Top Bottom