Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
- #1,661
Dakika ya 80
APR 0-0 Yanga
APR 0-0 Yanga
Naona kipindi cha pili Yanga mmepata strength.
Yanga lazima wapakatwe tu leo piga ua galagaza
Bala.Hivi hakuna hata redio moja on line inayotangaza haya mashindano ?
Kama mimi ninavyoichukia Simba
By Edson![]()
![]()
Kagame Cup Live | DulloSports
Mshukuru ndugu yetu Edson; ameweka hii link mimi huku USA nasikiliza hii game
hapewi nafasi ndio maana kiwango kinashuka.
Yanga lazima wapakatwe tu leo piga ua galagaza
Siyo wamepata strength - walitaka APR wachoke first period halafu wawafumue cha pili. Huyu ndiye super coach Saintfiet.
I can smell goli linakuja kwenye hizi dakika za mkiani.......