Wewe mara nyingi huwa unaanza hivi hivi, ukiona timu yako inaelemewa unapotea halafu ikishinda unarudi, thibitisha kwamba leo hutapotea utakuwepo mwanzo mwisho bila kujali upepo wa hii mechi unaelekea wapi.Ahaa PrN kumbe upo enh....very nice,umeniona leo nawakilisha from the begining....ni dalili za uhakika kwamba baada ya dk 90+5/120 au maguu kumi na mawili ya mtu mzima ni kicheko tu
PrN,Bemg na Skype najua mtaishia kimyakimya humu ndani hata kuaga hamtaaga
Crashwise atawashangilia Azam FC mwanzo mwisho...
Azm timu piga hao wajinga wajinga goli 3 - 1 iliwarushe ngumi kama kawaida yao...wakuu naona mechi ya APR imewai sasa dak. Ya 88 APR 1-2 Vita club. Je na ya Yanga itawai.?
ni kweli Boko haram aonyeshe kazi yake isiwe kuitea simba tu
Azm timu piga hao wajinga wajinga goli 3 - 1 iliwarushe ngumi kama kawaida yao...
Azm timu piga hao wajinga wajinga goli 3 - 1 iliwarushe ngumi kama kawaida yao...
Azm timu piga hao wajinga wajinga goli 3 - 1 iliwarushe ngumi kama kawaida yao...
Manji keshamloga kizungu,leo full kupaisha!ni kweli Boko haram aonyeshe kazi yake isiwe kuitea simba tu
Mkuu, inatakiwa Azam 3-0 Yebo
Mtataka sana,lkn haitakuwa
Ama kweli leo ni Yanga Vs Azam na Simba
Mimi nitoe kabisa, sishabikii Azam wala Yanga leo naangalia ufundi pale kwenye dimba la kati, kati ya Sure boy na Chuji na kati ya Mwaipopo/Balou na Niyonzima.Ama kweli leo ni Yanga Vs Azam na Simba
Mimi nitoe kabisa, sishabikii Azam wala Yanga leo naangalia ufundi pale kwenye dimba la kati, kati ya Sure boy na Chuji na kati ya Mwaipopo/Balou na Niyonzima.