Hii Yanga ya mwaka huu kwanini TFF wasiipe nafasi ya Simba kwenye kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa...
Ksbb wameonyesha kuimudu vema...
Simba watatuongezea aibu tu
Hii Yanga ya mwaka huu kwanini TFF wasiipe nafasi ya Simba kwenye kuiwakilisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa...
Ksbb wameonyesha kuimudu vema...
Simba watatuongezea aibu tu
Yes, ni kweili Yanga Afrika tuna maneno sana lakini hayatokei midomoni kama walivyo Simba.
Maneno yetu siku zote yanazungumzwa na zile boots 22 uwanjani na ni vitu viwili tu vinavyoweza kusikia maneno hayo - (1)mpira wenyewe (ball) na (2) uwanja (pitch)!!