Huna lolote.... unaumia sana moyoni Simba imefungwa leo.
Unajifanya Azam lakini maneno na ushabiki wako una viashiria vyote (ebu yatamke hayo maneno yako hapo juu kwa sauti.....do you hear that?) kuwa wewe ni Simba tena wa kutupwa!
Sina tabia ya kuikimbia Kompyuta wala uwanja mimi......Poleni sana kwa kupakatwa na Azam.....Kila siku nakwambia mpira hauchezwi mdomoni....Mpira unachezwa uwanjani......Dakika 90 kama sio 93
leo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda...Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange....dah
Sina tabia ya kuikimbia Kompyuta wala uwanja mimi......Poleni sana kwa kupakatwa na Azam.....Kila siku nakwambia mpira hauchezwi mdomoni....Mpira unachezwa uwanjani......Dakika 90 kama sio 93
Kitu kizuri nilichojifunza leo ni kuwa Azam inaweza kuwa timu bora zaidi Tanzania kwa sasa. Inaposhinda ni kwa sababu ya uwezo ilionao uwanjani na sio rushwa au kupendelewa. Watu wajifunze kukubali ubora wa wapinzani wao kwa sababu mpira unachezwa hadharani.
Simba, huo ndio ushindani, unapigwa bao unakubali, unakwenda kujipanga na sio kutafuta mchawi.