simba hoi na dk 90+? nauliza tu maana hapa nipo kenye dala dala narudi break ya kwanza ni dompo tu kujiliwaza...
poleni sana wana simba..
Huyu Sunzu hamna kabisa, magoli yote aliyokosa eti anafunga offside..hakuwa kwenye form kabisa tangu mashindano yanaanza..Poleni sana watani..
Asante kwa pole mkuu. Hongereni kwa ushindi huo mnono. We wish you all the best. Mjitahidi angalau kombe libaki TZ
Kwa nini nusu fainali zimewekwa siku moja?
simba kapakatwaaaaaa!!
Saint Ivuga pole sana ndugu yangu ndio soka lilivyo tujipange na ligi.
pengine simba walidhani wanacheza na Azam ya kombe la urafiki
mkuu mpira ni mchezo wa makosa ndiyo maana hata chelsea aliweza kuitoa barc kwenye uefahahahahahaaaaa
Yanga oyeeeeeeeeeee!
Simba ingepita nusu fainali zingechezwa siku tofauti ili wakusanye mapato; lkn kwa vile Azam ndo imepita watazamaji uwanjani wanahisi hawatakuwa wengi na mapato itakuwa ni sawa na bure wakaona ni bora waunganishe kwa pamoja zote.