PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 23, 2012 #1,041 timu zote zinastahili kuingia nusu fainali, japo inatakiwa hapa ipite moja basi unayotaka wewe ndiyo itapita.
timu zote zinastahili kuingia nusu fainali, japo inatakiwa hapa ipite moja basi unayotaka wewe ndiyo itapita.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 23, 2012 #1,042 Crashwise said: Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha Click to expand... Yanga akitolewa Musonye atalia.
Crashwise said: Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha Click to expand... Yanga akitolewa Musonye atalia.
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 643 Jul 23, 2012 #1,043 Crashwise said: Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha Click to expand... Mkuu mimi mpenzi wa yanga hapa nina furaha ajabu. Mwenye bar ana uhakika wa kuuza bia 10 kwangu tu. Ila ukweli ni kwamba mfungaji alikuwa offside
Crashwise said: Liwalo na liwe yanga lazima aingie Nusu fainali..poleni mnaoshangilia Mafunzo....hahahaha Click to expand... Mkuu mimi mpenzi wa yanga hapa nina furaha ajabu. Mwenye bar ana uhakika wa kuuza bia 10 kwangu tu. Ila ukweli ni kwamba mfungaji alikuwa offside
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 23, 2012 #1,044 PrN-kazi said: timu zote zinastahili kuingia nusu fainali, japo inatakiwa hapa ipite moja basi unayotaka wewe ndiyo itapita. Click to expand... No... Wanayoitaka cecafa ndio itapita.
PrN-kazi said: timu zote zinastahili kuingia nusu fainali, japo inatakiwa hapa ipite moja basi unayotaka wewe ndiyo itapita. Click to expand... No... Wanayoitaka cecafa ndio itapita.
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 23, 2012 #1,045 dakika ya ngapi wakuu .leo siko live nafuatalia hapa JF
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 23, 2012 #1,046 Katavi said: No... Wanayoitaka cecafa ndio itapita. Click to expand... exactly;
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 23, 2012 #1,047 Polisi said: Mkuu mimi mpenzi wa yanga hapa nina furaha ajabu. Mwenye bar ana uhakika wa kuuza bia 10 kwangu tu. Ila ukweli ni kwamba mfungaji alikuwa offside Click to expand... refarees wanafanya nini hasa! ndo wanashusha kiwango cha mpira ktk ukanda huu.
Polisi said: Mkuu mimi mpenzi wa yanga hapa nina furaha ajabu. Mwenye bar ana uhakika wa kuuza bia 10 kwangu tu. Ila ukweli ni kwamba mfungaji alikuwa offside Click to expand... refarees wanafanya nini hasa! ndo wanashusha kiwango cha mpira ktk ukanda huu.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 23, 2012 #1,048 Leo kama watafika penati zitarudiwa rudiwa kama mwaka jana, haya mashindano ya kutegemea gate collection.
Leo kama watafika penati zitarudiwa rudiwa kama mwaka jana, haya mashindano ya kutegemea gate collection.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 23, 2012 #1,049 bemg said: dakika ya ngapi wakuu .leo siko live nafuatalia hapa JF Click to expand... Dakika ya 64...
bemg said: dakika ya ngapi wakuu .leo siko live nafuatalia hapa JF Click to expand... Dakika ya 64...
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 23, 2012 #1,050 Wachezaji wa Yanga walicheza zaidi ya uwezo wao mechi ya APR ndo maana wanaonekana kuchoka.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 23, 2012 #1,051 PrN-kazi said: refarees wanafanya nini hasa! ndo wanashusha kiwango cha mpira ktk ukanda huu. Click to expand... Hawa marefarii ovyo kabisa.
PrN-kazi said: refarees wanafanya nini hasa! ndo wanashusha kiwango cha mpira ktk ukanda huu. Click to expand... Hawa marefarii ovyo kabisa.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 23, 2012 #1,052 Berko kaumia sidhani kama ataendelea.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 23, 2012 #1,053 Crashwise said: kwani vipi mtatufunga kesho...hahahah Click to expand... mboni mnakaa 2 bila safii...
Crashwise said: kwani vipi mtatufunga kesho...hahahah Click to expand... mboni mnakaa 2 bila safii...
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 23, 2012 #1,054 Anselm na Balatanda ndugu zangu wa karibu sana katika jukwaa hili vipi? Mbona siwaoni?
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 23, 2012 #1,055 Katavi said: Dakika ya 64... Click to expand... Asante Katavi
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 23, 2012 #1,056 Katavi said: Berko kaumia sidhani kama ataendelea. Click to expand... hata ya apr ilikuwa hivyo hivyo..
Katavi said: Berko kaumia sidhani kama ataendelea. Click to expand... hata ya apr ilikuwa hivyo hivyo..
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 23, 2012 #1,057 mafunzo kumbe wakiamua wanaweza.kwenye kombe la urafiki hawakucheza kama walivyocheza kwenye cecafa
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 23, 2012 #1,058 Masuke said: Anselm na Balatanda ndugu zangu wa karibu sana katika jukwaa hili vipi? Mbona siwaoni? Click to expand... @Balatanda : "Bala Is Always Here........... "
Masuke said: Anselm na Balatanda ndugu zangu wa karibu sana katika jukwaa hili vipi? Mbona siwaoni? Click to expand... @Balatanda : "Bala Is Always Here........... "
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 23, 2012 #1,059 Kocha wa Yanga haelewi wachezaji wake wanakosea wapi ndo maana hajui amtoe nani amwingize nani, kwani Yanga hamna Boban wenu?
Kocha wa Yanga haelewi wachezaji wake wanakosea wapi ndo maana hajui amtoe nani amwingize nani, kwani Yanga hamna Boban wenu?
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Jul 23, 2012 #1,060 kesho ni mechi za kulipiza kisasi Azam hatakubali kufungwa na simba lakini lazima icecream ziyeyuke mapema tu. Atletico haitakubali uteja kwa V Club kama walivyowatoa kwenye mashindano ya Caf kwa jumula ya magoli 6-4(Kinshasa 5-0, Bujumbura 4-1)
kesho ni mechi za kulipiza kisasi Azam hatakubali kufungwa na simba lakini lazima icecream ziyeyuke mapema tu. Atletico haitakubali uteja kwa V Club kama walivyowatoa kwenye mashindano ya Caf kwa jumula ya magoli 6-4(Kinshasa 5-0, Bujumbura 4-1)