Tatizo lako wewe unaushabiki wa kijinga...kwa hiyo mimi nikisema naomba leo yanga ashinde basi nina mapenzi na yanga, sahau nataka tukutane fainali ili tuje tuwafunge tano zingine....na cha msingi kombe libaki Tanzania maana likiondoka wakati tuna timu nne kati ya nane ni aibu kubwa sana kwa taifa...