nngu007 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2010 Posts 15,860 Reaction score 5,803 Jul 21, 2012 #941 Balantanda said: Game imeisha mjomba.....Ilikuwa inaoneshwa Super Sport 9 na Star TV Click to expand... Hawaonyeshi Online kama Mwaka Jana? kwa sisi tulio Nje ya Nchi?
Balantanda said: Game imeisha mjomba.....Ilikuwa inaoneshwa Super Sport 9 na Star TV Click to expand... Hawaonyeshi Online kama Mwaka Jana? kwa sisi tulio Nje ya Nchi?
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 21, 2012 #942 Balantanda said: Mtavuka tu mtani.....Akina ndetichia ni wenu siku zote.......Watambania Yanga weee.......Lakini wakikutana na mnyama wanaachia Click to expand... Redondo namuona yuko juu sana kumzidi Amri Kiemba; Agrey Morisi anatisha kuliko Nyoso na Haruna Shamte, Kipre tChetChe usiseme; hilo ndo balaha ninalo liona mtani. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Balantanda said: Mtavuka tu mtani.....Akina ndetichia ni wenu siku zote.......Watambania Yanga weee.......Lakini wakikutana na mnyama wanaachia Click to expand... Redondo namuona yuko juu sana kumzidi Amri Kiemba; Agrey Morisi anatisha kuliko Nyoso na Haruna Shamte, Kipre tChetChe usiseme; hilo ndo balaha ninalo liona mtani.
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 21, 2012 #943 Masuke said: Mkuu Mafunzo usiwachukulie poa, kuna kiungo mmoja anaitwa Salembe sijui Selembe pale dimba la kati kina Chuji wasipokuwa makini atawaadhiri. Click to expand... mpira uliochezwa na Yanga jana dhidi ya APR ulinistua, wakicheza kwa Mafunzo nusu fainali ni yao.
Masuke said: Mkuu Mafunzo usiwachukulie poa, kuna kiungo mmoja anaitwa Salembe sijui Selembe pale dimba la kati kina Chuji wasipokuwa makini atawaadhiri. Click to expand... mpira uliochezwa na Yanga jana dhidi ya APR ulinistua, wakicheza kwa Mafunzo nusu fainali ni yao.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Jul 21, 2012 #944 PrN-kazi said: kama ndo hivyo basi esabu kuwa Simba tayari ameisha ingia nusu fainali. Click to expand... simba lazima akae 2 kama amesimama.. hala Azam FC
PrN-kazi said: kama ndo hivyo basi esabu kuwa Simba tayari ameisha ingia nusu fainali. Click to expand... simba lazima akae 2 kama amesimama.. hala Azam FC
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 21, 2012 #945 Balantanda said: Sunzu ni wa aina ya akina Davis Mwape na Kenneth Asamoah, ni bora kubaki na akina Abdallah Juma na Said Buhanuzi wetu..... Hao akina Sunzu wanalipwa pesa nyingi kweli licha ya kwamba ni magarasa...... Click to expand... Sunzu a.k.a Mwape wa Simba,nashangaa bado wanaye tu...Mwape wetu tulishamlipa chake akasepa,sisi tunataka Magarasa?
Balantanda said: Sunzu ni wa aina ya akina Davis Mwape na Kenneth Asamoah, ni bora kubaki na akina Abdallah Juma na Said Buhanuzi wetu..... Hao akina Sunzu wanalipwa pesa nyingi kweli licha ya kwamba ni magarasa...... Click to expand... Sunzu a.k.a Mwape wa Simba,nashangaa bado wanaye tu...Mwape wetu tulishamlipa chake akasepa,sisi tunataka Magarasa?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jul 22, 2012 #946 Anselm said: Sunzu a.k.a Mwape wa Simba,nashangaa bado wanaye tu...Mwape wetu tulishamlipa chake akasepa,sisi tunataka Magarasa? Click to expand... Hilo galasa balaa,hamana kitu kabisa.
Anselm said: Sunzu a.k.a Mwape wa Simba,nashangaa bado wanaye tu...Mwape wetu tulishamlipa chake akasepa,sisi tunataka Magarasa? Click to expand... Hilo galasa balaa,hamana kitu kabisa.
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jul 23, 2012 #947 Apr 2 - ura 0 dk 35
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jul 23, 2012 #948 Ht apr 2 ura 0
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 23, 2012 #949 Konaball said: Apr 2 - ura 0 dk 35 Click to expand... sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo?????
Konaball said: Apr 2 - ura 0 dk 35 Click to expand... sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo?????
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jul 23, 2012 #950 PrN-kazi said: sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo????? Click to expand... ahh wapo wote ila si unajua timu zetu maneno mengi lakini uwanjani tuna bahatisha usishangae leo mgongo wazi aka kandambili nao waktolewa na mafunzo
PrN-kazi said: sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo????? Click to expand... ahh wapo wote ila si unajua timu zetu maneno mengi lakini uwanjani tuna bahatisha usishangae leo mgongo wazi aka kandambili nao waktolewa na mafunzo
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Jul 23, 2012 #951 kama kawaida, wadau wanasubiri mechi ya Yanga.
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Jul 23, 2012 #952 PrN-kazi said: sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo????? Click to expand... Kuna kiungo mmoja Owen Kasule hawajamwanzisha sijui ni majeruhi.
PrN-kazi said: sitaki kuhamini URA inachofanyiwa kwa jinsi ilivyoigaragaza Simba, au Derick Walulya, Saimon Massaba, Saimon Mabiru na Senttongo hawamo????? Click to expand... Kuna kiungo mmoja Owen Kasule hawajamwanzisha sijui ni majeruhi.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 23, 2012 #953 Konaball said: Apr 2 - ura 0 dk 35 Click to expand... Kumbe walitukomalia sisi tu...
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 23, 2012 #954 PrN-kazi said: kama kawaida, wadau wanasubiri mechi ya Yanga. Click to expand... Yanga anashinda hata kama ni kwa goli la mkono...
PrN-kazi said: kama kawaida, wadau wanasubiri mechi ya Yanga. Click to expand... Yanga anashinda hata kama ni kwa goli la mkono...
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 23, 2012 #955 Crashwise said: Kumbe walitukomalia sisi tu... Click to expand... Hee usiniambie,URA keshachezea hd dk hii?
Crashwise said: Kumbe walitukomalia sisi tu... Click to expand... Hee usiniambie,URA keshachezea hd dk hii?
Polisi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,082 Reaction score 643 Jul 23, 2012 #956 Crashwise said: Yanga anashinda hata kama ni kwa goli la mkono... Click to expand... CECAFA wenyewe wako upande wa yanga. Rohoni wanaombea yanga ashinde
Crashwise said: Yanga anashinda hata kama ni kwa goli la mkono... Click to expand... CECAFA wenyewe wako upande wa yanga. Rohoni wanaombea yanga ashinde
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jul 23, 2012 #957 dakika 57 apr 2 ura 1 sentongo
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 23, 2012 #958 Ha ha ha ha Yanga kweli team ya Wananchi, naona kila mtu anaombea Yanga ishinde leo isipokuwa Milovan na Simba yake
Ha ha ha ha Yanga kweli team ya Wananchi, naona kila mtu anaombea Yanga ishinde leo isipokuwa Milovan na Simba yake
Anselm JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 1,710 Reaction score 291 Jul 23, 2012 #959 Konaball said: dakika 57 apr 2 ura 1 sentongo Click to expand... Yule Dogo(Sentongo) anatafuta team Bongo kwahiyo lazima achezee sifa
Konaball said: dakika 57 apr 2 ura 1 sentongo Click to expand... Yule Dogo(Sentongo) anatafuta team Bongo kwahiyo lazima achezee sifa
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Jul 23, 2012 #960 ura sasa wanashambilia sana katika goli la apr