Tatizo lililopo Simba ni kiungo mtani.....Hakuna mtu sahihi wa kushirikiana na Mwinyi Kazimoto pale kati,ni bora kocha angekuwa anamuanzisha hata Boban........Hawa Mbiyavanga na Amri Kiemba hawapo vizuri kiasi cha kufanya kiungo cha Simba kinapwaya........Na hapo ndipo ninaliona pengo la Mafisango........Kigi Makasi ni mzuri ila kwa sasa ana tatizo moja......Kupooza mpira,hana kasi kama ile aliyokuwa nayo enzi zile akiwa Mtibwa Sugar