Andrew nerei
Member
- Jun 29, 2012
- 55
- 1
Penaaaaaaaaat!
Pole mtan leo lazima ulale mapema
Siku inakuwa mbaya sasa.
Ishakuwa balaa, hata hivyo tuna jeuri ya kucheza robo fainali.
Mkuu hakuna haja ya usajili, vijana waliopo ni wazuri sana tatizo ni upangaji wa kikosi pamoja na kuacha vijana wengine kwa sababu haya mashindano ni wachezaji ishirini tu ndo walikuwa wanatakiwa.Kagame Cup ikiisha Simba tuangakie upya usajiri wetu, vinginevyo ni kujipya ugonjwa wa moyo.
Kuna watu huwa mnatia sana hasira khs Avatar niliiweka ila nimeitoa na sishindwi kuiweka, mi nadhani leo umekorofishwa na pengine wenzio wamekulia mke wako
kama matokeo yakienda kama yalivyo robo fainali tunakutana na Azam
upo mkuu
Bora kucheza na Azam kuliko Atletico.