CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Hivi ishu ya Yondani imeishia vipi? Anaruhusiwa kucheza mashindano haya?
 
Mbona TBC wanaonyesha muziki badala ya mpira?
 
Hivi ishu ya Yondani imeishia vipi? Anaruhusiwa kucheza mashindano haya?
Anaanza leo....Kavaa jezi namba 5

Niyonzima kabadilishwa kuwa mshambuliaji sasa....

Kiungo(dimba) litashilikiliwa na Chuji na Rashid Gumbo 'Fundi'
 
Hamis Kiizza anakosa goli la wazi....Offside
 
Huyu dogo beki wa kushoto wa Yanga David Luhende ni mzuri sana
 
huyu mtangazaji sijui ni yanga maana anavyotishia duu..
 
Anaanza leo....Kavaa jezi namba 5

Niyonzima kabadilishwa kuwa mshambuliaji sasa....

Kiungo(dimba) litashilikiliwa na Chuji na Rashid Gumbo 'Fundi'
Mimi sio kocha lakini Gumbo ni mzuri sana akitokea pembeni kwa sababu ana kasi, kwa hiyo angekaa kushoto, Shamte Ally kulia, Chuji dimba la chini na Niyonzima dimba la juu halafu Kiiza na Tegete ndo wangekaa kwenye sebule, Kiiza ni mzito kucheza pembeni.
 
Back
Top Bottom