CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Kuna kauli niliisoma juzi nikatamani kutafuna keyboard. Eti kanu alipangwa huku akiwa na Malaria..... ebo sasa kwa nn apangwe kama alikuwa anaumwa wakati tuna players wengine kibao ? Nimesoma hizo changes za Nyosso kuingia badala ya Kihemba so hope Kiraka kapombe either anapanda kuwa defensive midfield au hata mbele zaidi ili Kazimoto au Kanu arudi hapo katikati nyuma !!

Nyoso ameingia badala ya Haruna Shamte na Abdallah Juma ameingia badala ya Amri Kiemba, nilidhani Uhuru Selemani au Kigi Makasi angeingia badala ya Amri Kiemba na sio Abdallah Juma, lakini naona Uhuru Selemani anapasha pasha misuli yake joto labda atasaidia, Abdallah Juma alitakiwa kumreplace Sunzu.
 
Goli la offside,Abdalah Juma alikuwa Offside kabisa
 
hawa vijana wanaoitwa Kinje na Kigi Makasi wamesajiliwa kufanya nini mbona hawatumiki?
 
Mmepunguza presha eh! Inabidi mpige 7 ili tuwe ngoma droo kama kwenye kupigwa 2-0. Goal difference matters..mpaka sasa mna +/- 0
 
Huyu Nyoso anavyowaokoa hivi ndo mlitaka kumuacha?
 
he he du bora inatakiwa tuwapige manne hawa watu
 
hawa vijana wanaoitwa Kinje na Kigi Makasi wamesajiliwa kufanya nini mbona hawatumiki?

Kinje aliumia siku ya Azam, Kigi nadhani anavuta kasi atatusaidia sana mbele ya safari dogo ni mzuri.
 
Busara ya Denis Batte ime'apply,angekuwa ni yule Refa aliyechezesha mechi ya Simba na Yanga ya mwisho lazima angetoa penalt nyingine
 
Back
Top Bottom