CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

sunzu anajituma lakini hakuna anayefuata nyuma kumsaidia
 
lalala tumekosa wakuweka mpira wavani simba watajitia hzi nafasi
 
Simba wanafanya uzembe ambao wataujutia....Kaseja alitoka golini na nusura wafungwe...Maftah naye anacheza rafu katika eneo la hatari...Thank God Kaseja amepangua ile free kick...

Maftah pale alicheza ile wanaita heri lawama kuliko fedheha,na kwakuwa ilikuwa ni nje ya 18 anafaa kupata vema
 
Abdal Juma ameingia kuchukua nafsi ya mrwanda
 
Back
Top Bottom