Kocha yupi wa yanga wewe ndetichia?
Mkuu nipo tena uwanjani kabisa ndo maana huoni post zangu, jana kocha nimempagia kikosi sijui kwa nini hajakitumia, kuna watu wazuri sana nje na kama kocha atawatumia basi tunaweza kufanya vizuri ila kipindi cha kwanza jamaa wamecheza vizuri kuliko sisi.
Torch torch jamani,mwenye torch za kutosha tafadhali tuwasaidie Simba...watumie kusaka mpira
Ni yeye mzee kwetu simba hakuwa anajituma kama anavyocheza leoSitaki kuamini kama huyu Walulya(Derick) ndo yule aliyetimuliwa na Prof Milovan ksbb ya kutokuwa na msaada katika team
Masuke usihofu uzuri tuna coah prof na wachezaji watabidika kipindi cha pili hawatakubali kulaliwa kama ilivyo kwa yanga janaHii mechi tuna hali ngumu sana.
Hapa navyoona mkuu tupo kama ndege mtini tunafanana.Mkuu Masuke pole Mkuu,lkn usijali sana kwasababu bado kuna dk 45 nzima
wakati ule hakuna alichokua anafanya na ndo maana alitupiwa virago vyake; inawezekana alikua ana tatizo la kiufundi ambalo Prof hakuweza kuligundua.Sitaki kuamini kama huyu Walulya(Derick) ndo yule aliyetimuliwa na Prof Milovan ksbb ya kutokuwa na msaada katika team
Okwi kweli ni kifaa, pengo lake linaonekana.