CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Kocha Tom Saintfeit amesema Yanga haitashiriki mashindano hayo ya kuwatengenezea fedha TFF na washirika wao mashindano amabayo yanaumiza tu wachezaji......

Amesema yeye anataka kuandaa na kutengeneza timu ya ushindi....
hATA SIMBA NITAWASHANGAA WAKIINGIZA TIMU BADALA YA KUIWEKA KAMBINI KWAAJILI YA LIGI KUU NA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA..
 
Hongereni sana vijana wa jangwanii

Kata kidomo domo baada ya 'kuwaonja' wana tamtam azam a.k.a 'mnyama b'

Wamebana wamebana mwisho wameuachiaaa tukawaingizia Mbili mtungi

Wameozoea kubebwa bebwa kwenye kombe la mbuzi ( ? ligi kuu ya Kibongo) wakati cheche tuuu hawana lolote

kumbe yanga wengi enheee...
 
mwambie huyo mziki wa azam sio mchezo ila msimu ujao tutachukua tu ndo kwa kitoto chaanza tambaaa....
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...
 
ninacho shukuru ni kitendo cha azam kuwa timu inayokubalika tz viva la azam fc
 
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...

umeona enheee watoto tumewakamata mpaka basi ila wamecheza kama Chel5ea kupaki basi tu ila haina noma mkuu..
 
Naona wanatuchokoza. Halafu hawa Kandambili hadi staili ya kushangilia wametuiga - SIMBA TAIFA KUBWA
sASA SISI SI NDIYO WAUMEZAO, WEWE UKIKUTA MKEO KAVAA NGUO YAKO UTAMPIGA...LOL
 
Azam KIHEREHERE! Kameanza mambo ya kikubwa kakiwa kadogo, anyway Mny. Simba, SC kalimtwanga brain concurssion, leo kamechapwa! Hata hivyo sio kazuri kama Sweet wetu, angekuwa yeye tungepiga mara 7.
 
Azam KIHEREHERE! Kameanza mambo ya kikubwa kakiwa kadogo, anyway Mny. Simba, SC kalimtwanga brain concurssion, leo kamechapwa! Hata hivyo sio kazuri kama Sweet wetu, angekuwa yeye tungepiga mara 7.

hongera zako ila tumewapeleka mbaya sema zali tu sio letu

Halaa Azam FC
 
Karibuni msitu wa Magwepande tunasherehekea na Rama ushindi wa Yanga! Imagine Chelsea bingwa Ulaya wakati yanga bingwa Kagame cup
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
Rais wa Yanga Yusuf Manji akikaba mpaka penati leo karibu na vyumba vya kubadilishia nguo wachezaji wake kuhakikisha hakuna hujma toka kwa watu wa bakhresa

Yanga wakisherehekea baada ya kurudishiwa ndoo yao ya kimataifa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
nIMEPENDA KITU KIMOJA AZAM HAWA PANIC HATA KAMA WAMEFUNGWA WANACHEZA MPIRA WAO UKIONDOA UZEMBE MDOGO MDOGO KWELI LIGI KUU ITAKUWA YA USHINDANI MKUBWA...

Mkuuupo, kuna WADAU WANADAI UMEVIMBIWA JUICE YA AZAM WEWE NA MSHIKAJI WAKO IVUNGA ha ha ha , wanadai ni taaabu tupu kijambio kinapumua tu ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom