naona umeibuka ghafla ulienda wapi mkuu?
Nipo nilikuwa na'concetrate kwenye game
Mkubwa ni mkubwa tu.....
kWANIABA YANGU MWENYEWE NAOMBA NIWAPONGEZE WATANI ZANGU...HONGERENI SANA TUKUTANE KWENYE KOMBE LA MBUZI LINALOANZA TAREHE 4.8.12....MWABEJA SANA
Nafikiri leo kila mtu atakuwa amekubaliana na mimi kuwa Azam wasipokuwa 12(Na refa) hawana uwezo wa kuwafunga Yanga...
Kocha Tom Saintfeit amesema Yanga haitashiriki mashindano hayo ya kuwatengenezea fedha TFF na washirika wao mashindano amabayo yanaumiza tu wachezaji......
kWANIABA YANGU MWENYEWE NAOMBA NIWAPONGEZE WATANI ZANGU...HONGERENI SANA TUKUTANE KWENYE KOMBE LA MBUZI LINALOANZA TAREHE 4.8.12....MWABEJA SANA
Kocha Tom Saintfeit amesema Yanga haitashiriki mashindano hayo ya kuwatengenezea fedha TFF na washirika wao mashindano amabayo yanaumiza tu wachezaji......
Amesema yeye anataka kuandaa na kutengeneza timu ya ushindi....
We are the champions ....Yanga: kagame cup champions..Yanga for life...best team in the country by miles..
Simba na azam wakacheze pemba team za waarabu hizo.. Team ya watanganyika ni moja tuu YANGA
giiiiiiiiiiii kwani simba leo amecheza....tuna wadai goli 5.