CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Rashid Gumbo 'Fundi' anatoka......Anaingia Juma Seif 'Kijiko'
 
nyie mnaongea lugha gani humu ndani? kwa nn msiende chit chat? hili jukwaa sio lenu
 
huyu kipa leo naona kachoka kichapo cha azam naona kila mara analala tu..
 
Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...
 
Back
Top Bottom