CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Umeona huyu Muingereza wenu?....niliwaambia huwa anamtumia Mrisho Ngassa akiona maji yamefika shingoni
 
Lakini Ngasa mbona kashangiliwa sana na vijana wa jangwani?
 
mchezo wa mpira hauna utabiri wakueleweka kumbe hata Liverpool anaweza kufungwa na Mafunzo
 
Back
Top Bottom