Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...
leo mambo si mambo..
....huyo ni dhaifu....Hivi huyu Mustapha ataacha huu ujinga wa kupoteza muda lini...ni mambo ya kizamani...
hahahaha nimegoogle ikaleta maana yake hii '' iGoli ilidolobha elikhulu eGauteng. Ilidolobha likhulu kunayo yonke laseNingizimu Afrika sijui lugha gani vile
Dakika 5 tu zimebaki, ooooooh, poor Azam!
Hahahahahahahahaha, google hawajuwi ligha yetu hao[/QUOTE
na Yanga ni bingwa utasemaje?