Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
- Thread starter
- #2,041
Poleni Azam na Simba.......Msikate tamaa, ngoma bado nzito sana hii......Mpira ni dakika 90, kwa muda uliobaki lolote laweza kutokea katika fainali hii.....Mnaweza kuongeza na kufunga goli la ushindi......
Tuko pamoja........
Bala.
Tuko pamoja........
Bala.