naona yanga wamepagawa kweli..
Mkuu tuko pamoja: hii ni fainali bwana.PrN,Bemg na Skype najua mtaishia kimyakimya humu ndani hata kuaga hamtaaga
Siwaoni mashabiki wa Yanga hapa kutuletea update au kama kawaida yenu mnasubiri mpate goli?
Siwaoni mashabiki wa Yanga hapa kutuletea update au kama kawaida yenu mnasubiri mpate goli?