rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 462
Dakika ya ngapi vile na nani mfungaji?
Limefungwa dakika ya 44 na Hamisi Kiiza.
Mkuu sikilizia hapa: Kagame Cup Live | DulloSports
Dakika ya ngapi vile na nani mfungaji?
Bala Is Always Here..........
''siyo kila siku ni kupakata tu na kupakatwa nako kumo bwana''ila litarudi tu mpira dk 90 bwana..
Hongera Nkwingwa inaelekea mtashinda. Mmeutawala sana mchezo
leo kuna hatari Yanga akapakata wanawake wawili kwa mpigo.!
Kupyanja it'i kulumanga! (Kula ugali na mboga ya kukombeleza si vibaya kama kula ugali bila mboga)
Huyu Hamisi Kiiza alikuwa Yanga Mwaka Jana?
Bing'we mkubayanja banhu ng'wenumu badume kwelelwa icho mlandika, andikagi mugiswahili.kinehe nkoi nang'ho ulikubhayanga angu? Nahene bhagishagi pyabhose.
mkuu hakimbii mtu ukumbi hapa, nyota imewaka upande wetu!usije ukakimbia tu hapa dakika ya 90
Mpwa umekaa jukwaa lipi?Bala Is Always Here..........
kinehe nkoi nang'ho ulikubhayanga angu? Nahene bhagishagi pyabhose.
Bing'we mkubayanja banhu ng'wenumu badume kwelelwa icho mlandika, andikagi mugiswahili.
Kupyanja it'i kulumanga! (Kula ugali na mboga ya kukombeleza si vibaya kama kula ugali bila mboga)