Kifo sio mchezo mwamba katembea yule.Kwanza pole Kwa wote lakini kila nikikumbuka mwamba aliyechanja mbuga natan kucheka duh
Kuna ajali ilitokea kwenye round about moja mjini Moshi, break za bus zili-fail na hilo bus lilikuwa captured na cctv cameras nadhani za bank au duka la mtu, nimeitafuta humu ile post siioni, mwenye nayo atuwekee hapa kukuza archive yetu
Yupo MOI ICU Kwa taarifa za 23.02.2023huyu baba aliyekuwa anatembea amesalimika kweli.
Wanasema yuko ICU kavunjika mguu na mkono pamoja na kichwa,anafungua macho tu lakini kusema bado!!Sidhani
Tumuombee sana uponyaji na kuepuka ulemavuWanasema yuko ICU kavunjika mguu na mkono pamoja na kichwa,anafungua macho tu lakini kusema bado!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kuna best angu alinisimulia alikua na rafik Ake anaitwa IBRA waliachana sekunde si chini ya dakika Moja......Mpendwa IBRA alikua anavuka upande wa pili wa barabara akapata ajar ya kugongwa na gari mpk mauti.....Daah. KIFO ni fumbo sana. Jamaa alikua anapita zake wala hana tabu na mtu![]()
Yuko moi i.c.u amevunjika mguu,mkono na ameumia kichwani,hawezi kuongea kwa sasa ila ameanza kufungua macho.tuendelee kumuombeaAlisalimika kweli yule jamaa alikutana na lile basi?Mungu awaponye aisee
Katoka nduki kama hamorapa alivoona pistol....Jamaa alokuwa amekaa kwa kiti alitoka ndukii hadi msikitini kusali
Yupo MOI ICU Kwa taarifa za 23.02.2023