CCTV cameras events playblacks special thread

Naona kapondwa ukutani pale.
Inavyoonekana alishitukiza, kwahiyo hakuwa na muda wa kufikiri, na ndio maana hakuchukua maamuzi sahihi. Nadhani angekimbilia upande wa kulia, basi lisingemgusa. Badala yake, yeye amekimbilia upande huohuo. Hata hivyo, sikio la kufa hakisikii dawa (au siku ya kufa nyani miti yote hutereza).
 
Ange kimbilia upande wa kulia angepigwa na Ile gari ndogo.
 
Kuna ajali ilitokea kwenye round about moja mjini Moshi, break za bus zili-fail na hilo bus lilikuwa captured na cctv cameras nadhani za bank au duka la mtu, nimeitafuta humu ile post siioni, mwenye nayo atuwekee hapa kukuza archive yetu
 
Ukitazama hapo Mwenye gari dogo ndio kasababisha yote haya ilibidi asimame na ndio maana taarifa zinasema baada ya kufika hospital ametokomea kusikojulikana amekimbia
 
Kuna ajali ilitokea kwenye round about moja mjini Moshi, break za bus zili-fail na hilo bus lilikuwa captured na cctv cameras nadhani za bank au duka la mtu, nimeitafuta humu ile post siioni, mwenye nayo atuwekee hapa kukuza archive yetu
Naikumbuka ile video aisee nikadhani ilikuwa Arusha
 
Sasa hawa watu kwa nn wasitoe huduma ya kwanza , dakika 3 zote hzo mtu amelala bila kupewa msaada wowote
 
Huyo kwenye gari ndogo ndo alisababisha ajali, huwezi kupita full namna hiyo kwenye makutano ya barabara bila kucheki kulia na kushoto.
 
Inavyoonekana alishitukiza, kwahiyo hakuwa na muda wa kufikiri, na ndio maana hakuchukua maamuzi sahihi. Nadhani angekimbilia upande wa kulia, basi lisingemgusa. Badala yake, yeye amekimbilia upande huohuo. Hata hivyo, sikio la kufa hakisikii dawa (au siku ya kufa nyani miti yote hutereza).
Alilengwa akachafuliwa, amepasuka.Ni kama ndo mwenye ajali yake.
 
Ila dereva wa mwendokasi asingejaribu kuikwepa ile gari, kusingekua na maafa sana .
Kama ningekua mimi ningetulia kwenye direction yangu.
 
Kuna ajali ilitokea kwenye round about moja mjini Moshi, break za bus zili-fail na hilo bus lilikuwa captured na cctv cameras nadhani za bank au duka la mtu, nimeitafuta humu ile post siioni, mwenye nayo atuwekee hapa kukuza archive yetu
Naikumbuka ile video. Sijui iko wapi
 
Back
Top Bottom