Mkiipata ya Area D. Mniiite
Aibu yakoHii ni athari ya kuandika report ya kazi akiwa anakunywa mtori. Anaandika kile alichosikia kwa wenzie sio alichoshuhudia.
Huwa tunaingizwa mkenge mambo mengi sana.
HajafaDaah. KIFO ni fumbo sana. Jamaa alikua anapita zake wala hana tabu na mtu![]()
Acha uongo weweAlifariki pale pale aisee, so sad.
Kwanza kapita njia yake na kuna muumini nyuma yake kadhangaa sadaka gani inatolewa mpaka kikapu kinahama 😁😁😁😁😁Mwivi wa zakaView attachment 2535534
Kidevu pua shingo paji la uso kimoja wapo kitakuwa hakina kazi
Dah bodaboda kumbe akili zao zinafanana dunia nzima


kanikumbusha bibi yangu 

tulikua tukimtembelea, ikifika asubuhi hataki mfanyakazi akamulie maziwa wajukuu wake hivyo anatoa tangazo mapema usiku " kesho asubuhi sitaki mtu kwenze zizi naingia mwenyewe kuwakamulia wajukuu zangu maziwa "
sasa siku hiyo kajihimu bibi yule alikua na 80s, kakamua ng'ombe zake kindoo cha lita 10 kimejaa
anataka kutoka tu akashangaa kindoo kimekula shuti
sisi huku nje hatuna hili wala lile tunasikia matusi na mijeledi inatembea humo ndani bandani
nilicheka siku hiyo hatari! Nilikua nasikia " shuwaini koromaita " " fuqfruit madona " alafu mijeledi inaendelea hahaha! Apumzike huko alipo alikua anavituko sana yule mamaKitenesi kinasubiri wallah!
okAibu yako
HahahahDah bodaboda kumbe akili zao zinafanana dunia nzima
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Duh mzee wawatu yalitaka kumtokea ya yule jamaaa wa mwendokasi
Ndala pekee ndio imepata majerahaDuh mzee wawatu yalitaka kumtokea ya yule jamaaa wa mwendokasi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Alooh pale aamini kama kaponaNdala pekee ndio imepata majeraha![]()