CCM yapita bila kupingwa Lushoto

CCM yapita bila kupingwa Lushoto

katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Shangilia Upumbavu, Zimwi la Kuisaliti Chadema litawamaliza... ulivyo Pimbi kati vyama 21 nchini, hulali bila kuitaja Chadema...hiki Chama makini we pimbi thatz why ukatupiwa kapuni
 
Chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!
sema mwaka kesho sio mbali kama unavyodhani...anyway cdm bado wako busy kidogo na zito.
 
chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!

hapo umejionea mwenyewe maana upo ktk maeneo husika,lakini vijana wanaotumia mitandao kupiga kelele wanadhani mambo ni rahisi kwa chadema kushika nchi,huko uliko ni mfano tosha kuwa bado kuna kazi ya kufanya,hata morogoro kupo hivyo,bado vyama vya upinzani havina nafasi na huwezi kutegemea kura kwa sehemu moja tu ya nchi ni lazima uokoteze kila kona ya tanzania ili uweze kujihakikishia kushika dola.
Na mgogoro huu ndio kabisa 2015 kitaeleweka
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Ahaa!!! Kumbe Aunt Stella Mwampamba! Juliana Shenzi hajambo! Big up sana
kamanda kwa kuchagua ujinga! Msalimie Mwigulu Nchemba VEMPIRE,Mzee wa blood!
 
Uzinzi uzinzi...wazazi wako wasingefanya uzinzi ungezaliwa?

Chukua msaada hapa,

Uzinzi ni kitendo cha kukutana kimwili baina ya mwanamume na mwanamke,
Kitendo kifanzwacho hapo ndo chamkuliwa ZINAA/UZINZI, na watendaji waitwa WAZINIFU.

Na ukisikia tendoa la ndoa ni kitendo kikutanishao wanandoa, watu wawili wenye jinsia tofauti/ mme na mke kwa maamrisho ya dini.

Kitendo kifanzwacho na hao wawili huitwa TENDO LA NDOA, na wawili hao humkulowa WANA NDOA.

Ahsanta.
 
Ndo hivyo mkuu. Si amekuambia kuwa ccm imepita bila kupingwa kata ya Mtae huko lushoto? Au hupendi kusikia habari hizi?

Hizi habari ni mbaya kama shetani hakuna anae weza kuzipenda tofauti na uzao wake.
 
Bila mods kuunganisha huu uzi na mwingine.
Naona hali hii imazidi kuota mizizi ya chama cha mapinduzi kupita bila kupigwa kwenye chaguzi mbali mbali, Huku wenye viti na makatibu wa wilaya, mikoa na taifa wakijua kabisa kua kuna chaguzi ndogo za udiwani sasa iweje CCM wapite bila kupingwa? Tumaini makane tunahitaji ufafanuzi ulio kamilika, tatizo nini kama kunawatu wameshidwa kazi ni bora wan'goke kuliko kuua democrasia.

Viongozi wa juu wa chadomo hawawezi kukubali wapoteze muda wao pesa zao na hata nguvu zao maana wao wapo kimaslahi zaidi kwa hiyo walichogundua kuwa Lushoto hakuna vibaka wazoefu kama Arusha na Mbeya kwa ajili ya kufanya fujo
 
Kwa nini upoteze resources zako sehemu ambayo matokeo yako wazi? Je CUF wameweka mgombea?
You are absolutely right. Sun Tzu once said, "He who knows when he can fight and when he cannot, will be victorious."
Hii dhana ya kwenda 'kutimiza wajibu' wakati huna hata resources za kutosha ni kigezo cha ukosefu wa hekima na busara katika mapambano.

CHADEMA kama chama kinachojiandaa kupata ridhaa ya kuongoza nchi, hakiwezi kufanya kazi ya 'kutimiza wajibu kisiasa' hasa ikichukuliwa kuwa, katika siasa za ushindani majukwaani, ni bora usifanye mkutano sehemu ambayo hautapata watu wengi kuliko kufanya mkutano na kupata watu wawili watatu, halafu vyombo vya habari vikatoa picha hasi za mkutano kama ilivyotokea kwa Mh. Msigwa juzi katika kata ya Nduli, Iringa.
 
Nadhani hii ni ile kata ya mtae ambayo mgombea wa CDM inasemekaka alitekwa na uongozi wa kanda wa CDM uliahidi utaleta majibu ya kilichojiri kwa labda tuendelee kusubiri wakati mateka akitafutwa
 
chadema wameniudhi sana!
nini maana ya kuunda kanda kumi?
mleta mada tuanze kuuliza haya maswali viongozi wa hizi kada
 
baada ya miaka kama miwili hali itakuwa hv nchi nzma. Ni kupta bila kupingwa kote
 
Bila mods kuunganisha huu uzi na mwingine.
Naona hali hii imazidi kuota mizizi ya chama cha mapinduzi kupita bila kupigwa kwenye chaguzi mbali mbali, Huku wenye viti na makatibu wa wilaya, mikoa na taifa wakijua kabisa kua kuna chaguzi ndogo za udiwani sasa iweje CCM wapite bila kupingwa? Tumaini makane tunahitaji ufafanuzi ulio kamilika, tatizo nini kama kunawatu wameshidwa kazi ni bora wan'goke kuliko kuua democrasia.

Mohamedi Mtoi anafanya kazi gani sasa kwao Chadema haipo anakwenda kushinda kwa Lema.
 
Last edited by a moderator:
Viongozi wa juu wa chadomo hawawezi kukubali wapoteze muda wao pesa zao na hata nguvu zao maana wao wapo kimaslahi zaidi kwa hiyo walichogundua kuwa Lushoto hakuna vibaka wazoefu kama Arusha na Mbeya kwa ajili ya kufanya fujo
afadhali ujulikane kibaka/mwiz ila ww hujulikan nafikir nimwendelezo wawale wanaofikir kutumia makalio badirika.
 
Haps Zitto hahusiki kweli maana 2010 waliopita bila kupingwa kote alisingiziwa Zitto kwamba ndio amesavabisha
 
Last edited by a moderator:
Mohamedi Mtoi anafanya kazi gani sasa kwao Chadema haipo anakwenda kushinda kwa Lema.

Mkuu kuna mtu huwa wanamsifia anaitwa kamanda Mawazo yuko wapi? au naye ni msaliti? Pia Mtoi ni msaliti.........watamkumbuka ZZK ndiye aliyewapigia debe wabunge na madiwani wengi kampeni haswa kanda ya Ziwa.Kuna kata 29 wao kila kukicha sombetini,sombetini.......ni kama wanafunzi aliyekariri jibu basi yeye anatowa jibu hilo hilo kwa kila swali...........na wajiulize wanasema CDM inakubalika nchi nzima wanamaasha nini?
 
Back
Top Bottom