CCM yapita bila kupingwa Lushoto

CCM yapita bila kupingwa Lushoto

Ni kweli hata mimi nimesikia. Kumbe jamaa alienda kutafuta uchawi wa kumloga Mbowe ili afe baada ya ile mbinu ya Bomu la Soweto Arusha kushindwa!
Zitto anasumbuliwa na ugonjwa wa usaliti huu ugonjwa ni mbaya zaidi ya ukimwi lazima ataenda nao hadi kaburini.
 
Do you know the story behind? Mnajua vyema mlichokifanya Mtae kwa kumteka mgombea WA CHADEMA, Chabruma kabla ya kushangilia jiulize kidogo tu
 
Last edited by a moderator:
Kwani Mbowe naye ni mtu? Mtu akitopea kwa uzinzi hata sifa ya kuwa mtu inapotea. Kwa sheria za kiislam ni kumtandika mawe mpaka afe. Huyumni mtu mfu

Si unaona dharau zako hizo? Sawa wewe unakomalia ishu ya uzinzi. Hivi tukishusha list ya Magamba wazinifu ni nani atakayesalimika ccm?
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Maliza kwanza doze ndio useme umepona.
 
Mtela laana ya vijana wapenda mabadiliko itazidi kukutafuna, huna lolote unajifanya kada wa CCM uliyekubuhu kumbe akilin mwako unangojea upewe vyeo vya kulipana fadhila, tamaa mbaya kaka
 
Wamemlaghai kwa vipi? Kwani cdm ilikuwa na mgombea mmoja tu? Ni aibu kwa chama kinachojinasibu kiko makini kuwa na mgombea mmoja tu ambaye naye anakosa sifa

Mimi nadhani vitu vingine ni kutumia akili tu, Mgombea mmemuamini dakika ya Mwisho mnataka kurudisha Form anapotea kwa mazingira ya Kutatanishan Mnategemea nini?

Kweli Mtaweza kuitisha vikao mteue Mtu mpya.

Mimi nadhani CDM umefika wakati wa kujipanga sasa, Ni kwanini warudisha form dakika za Mwisho ?

Lile la Mkataba kati ya wagombea na chama limeishia wapi?

Maana watu kama hawa ni kupeleka Mahakamani tu.


Poleni sana CDM.

Ila najiuliza Lushoto si ndipo alitesa KISANDU ? Vipi NCCR pia wameingia Mitini ? CUF je? Wapo wapi jamani ?
 
Last edited by a moderator:
Bila kupigwa wapi? We ngaz. Huku si ndo mliko mteka mgombea wa CDM lengo lenu muonekana mulipita bila kupigwa.
 
mbona hujampiga Kapuya, tena alibaka katoto kadogo???
Kama sharia zinafuatwa??
 
Last edited by a moderator:
Naona hali hii imazidi kuota mizizi ya chama cha mapinduzi kupita bila kupigwa kwenye chaguzi mbali mbali, Huku wenye viti na makatibu wa wilaya, mikoa na taifa wakijua kabisa kua kuna chaguzi ndogo za udiwani sasa iweje CCM wapite bila kupingwa?

Tumaini makane tunahitaji ufafanuzi ulio kamilika, tatizo nini kama kuna watu wameshidwa kazi ni bora wan'goke kuliko kuua democrasia.
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Ni kawaida ukishaachika umsifie mume mpya hata kama ni jambaz.
Hivi bado hujapata mimba tu?

Kwanza ndio kwanza kampeni zimeanza wewe unatangaza ushindi kama Jk alivyomtangaza Masha jimbo la Nyamagana halafu akachaguliwa Mh. Wenje.
 
Kwani Mbowe naye ni mtu? Mtu akitopea kwa uzinzi hata sifa ya kuwa mtu inapotea. Kwa sheria za kiislam ni kumtandika mawe mpaka afe. Huyumni mtu mfu

Uzinzi uzinzi...wazazi wako wasingefanya uzinzi ungezaliwa?
 
Msaada tafadhali katika kata hizo 27 naomba kujua CDM walikuwa washikilia kata ngapi na CCM walikuwa na kata ngapi na vyama vingine pia.
 
Naona hali hii imazidi kuota mizizi ya chama cha mapinduzi kupita bila kupigwa kwenye chaguzi mbali mbali, Huku wenye viti na makatibu wa wilaya, mikoa na taifa wakijua kabisa kua kuna chaguzi ndogo za udiwani sasa iweje CCM wapite bila kupingwa? Tumaini makane tunahitaji ufafanuzi ulio kamilika, tatizo nini kama kunawatu wameshidwa kazi ni bora wan'goke kuliko kuua democrasia.

Kwa nini upoteze resources zako sehemu ambayo matokeo yako wazi? Je CUF wameweka mgombea?
 
Chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!

Mtwara na Lindi goli liko wazi, CDM bado wanapiga danadana...!😛layball:
 
Back
Top Bottom