CCM yapita bila kupingwa Lushoto

CCM yapita bila kupingwa Lushoto

Mtela Mwampamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
537
Reaction score
347
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
 
Hongera sana ccm. Hongera sana wana Mtae
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....

Mbona husemi kuwa CHADEMA wameisha wapokonya kata 3 zilizo kuwa zenu so far?

Sombetini-Arusha
Mbeya-Vijijini
CHADEMS watatetea kiti chake easily Bunda

Ni 3-1 kumbe hadi sasa!
 
Chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!
 
Mbona husemi kuwa CHADEMA wameisha wapokonya kata 3 zilizo kuwa zenu so far?

Sombetini-Arusha
Mbeya-Vijijini
Bunda

Ni 3-1 kumbe hadi sasa!
Kwani hao wa chadema wamepita bila kupingwa? Si ccm nao wamesimamisha wagombea? Hapo mkishindwa ndo mtasingizia ccm kuwa imeiba kura? Imani hizi jamani! Wanaochagua ni watu na si nyie mburulaz mnaoshinda kwenye keyboards
 
Vp nyasurula, sombetini? Naona ww gamba msaliti unajitekenya mwenyewe alafu unacheka mwenyewe
 
Chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!
Mkuu, kumbuka maji marefu hayajaribiwi kwa kutumbukiza mguu. Utazama moja kwa moja. Ccm ni kama maji ya kina kirefu. Kama huna ubavu wa kushindana nacho, ni bora kutopoteza muda kusimamisha wagombea
 
Yamkini Magamba yamemlaghai huyu alokuwa mgombea wa CDM na hizi mbinu chafu mnazotumia nyie Magamba zitaja waumbua siku moja
 
Yaani we kiazi huonekani hadi kipindi cha uchaguzi ndo unajipitisha pitisha? Safari hii sidhani kama watakuchukua kupiga kampeni japo kwenye kata hata moja maana mtihani wa kwanza ilikua ni Arusha na ukapata F za kutosha tu.
 
Wamemlaghai kwa vipi? Kwani cdm ilikuwa na mgombea mmoja tu? Ni aibu kwa chama kinachojinasibu kiko makini kuwa na mgombea mmoja tu ambaye naye anakosa sifa
 
Yaani we kiazi huonekani hadi kipindi cha uchaguzi ndo unajipitisha pitisha? Safari hii sidhani kama watakuchukua kupiga kampeni japo kwenye kata hata moja maana mtihani wa kwanza ilikua ni Arusha na ukapata F za kutosha tu.
Siasa za kujadili watu zipo CHADEMA tu
 
Kwani hao wa chadema wamepita bila kupingwa? Si ccm nao wamesimamisha wagombea? Hapo mkishindwa ndo mtasingizia ccm kuwa imeiba kura? Imani hizi jamani! Wanaochagua ni watu na si nyie mburulaz mnaoshinda kwenye keyboards

Sijawahi ongea kitu bila utafiti mkuu Chabruma

CCM hawawezi shinda Sombetini na Mbeya vijijini!Bunda CHADEMA itatetea kiti chake easily!
 
Last edited by a moderator:
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
Tunakujua we ni moja wa wale waliotimuliwa chadema pia ni moja wa wale ambao zzk alikuwa anawalipa tsh 150,000/=ili kuiua chadema.
 
Huko ndo kule tuliambiwa kuwa mgombea wa CHADEMA alItekwa kabla hajarudisha fomu?
 
Chadema wakiendelea kulea mchezo huu mwaka 2015 kata na majimbo mengi ccm itashinda hivohivo! Tatizo la chadema hawana mipango ya dhati ya kukamata dola, hawaingii vijijini, huishia mijini! Na nguvu kubwa imeelekezwa upande mmoja wa taifa letu! Kwa mfano mikoa ya kusini kama ruvuma dr. Slaa hajawahi kufanya ziara ya kichama hata siku moja, zaidi ya kuja mwaka 2010 kuomba kura za urais! Naanza kuamini kuwa ccm wataendelea kuongoza taifa hili kwa muda mrefu ujao!

Mkuu

Diwani wa CHADEMA kata hiyo alishinda kura za maoni na hakuwa pekee yake!Siku ya kurudisha form ndiyo kajificha na kukawa hamna muda wa kujaza form mpya kwa mwingine!

CCM wanaweweseka sana na hata 2015 kama ulivyosema watajaribu kutumia hela kupata majimbo ya bure
 
katika hali ya kutofautisha kati ya chama cha siasa na saccos, chama cha mapinduzi kimepita bila kupingwa katika kata ya Mtae wilayani Lushoto.Uchaguzi wa marudio katika kata 27 nchini tayari ccm imeshashinda kiti kimoja asubuhi na mapema.viva ccm viva .... viva mtae viva......viva Lushoto viva....
Hamna shida,unafurahia kwakuwa ulifukuzwa fisadi wewe usiyependa maebdleo ya watanzania maana ccm ni wauaji wa maisha ya watanzania,na wewe umefulia tu hakuna utakachopara hapo hata upige ngoma namna gani,mzigo we
 
Back
Top Bottom